iqna

IQNA

Waislamu Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu huko Cork, jiji la pili kwa ukubwa nchini Ireland, imewaalika watu kuwauliza maswali yoyote wangependa kuhusu Uislamu au mtindo wa maisha wa Waislamu katika hafla maalum ya Kiislamu ya ' mlango wazi '.
Habari ID: 3475653    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20